Viwanja 10 vya ndege duniani vilivyopitisha abiria wengi zaidi mwaka 2015 | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 5, 2016

Viwanja 10 vya ndege duniani vilivyopitisha abiria wengi zaidi mwaka 2015

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Siku hizi kila kitu kina rekodi zake, kama wanatuambia mpaka idadi ya Tembo walioko Afrika hawawezi kushindwa kutuambia viwanja vya ndege vinavyoongoza kwa kupokea au kupitisha abiria wengi zaidi duniani.
A1
NAMBA 10: Dallas Fort Worth uwanja upo Marekani na mwaka 2015 ulipitisha abiria milioni 64.
a2
NAMBA 9: Paris Charles de Gaulle Airport Ufaransa ulipitisha abiria zaidi ya milioni 65
CH
NAMBA 9: Paris Charles de Gaulle Airport kwa ndani Ufaransa ulipitisha abiria zaidi ya milioni 65
NAMBA 8: Hongo Kong International ambao una sifa ya kupitisha tani kwa tani za mizigo, ulipitisha zaidi ya abiria milioni 68
NAMBA 8: Hong Kong International ambao una sifa ya kupitisha tani kwa tani za mizigo, ulipitisha zaidi ya abiria milioni 68
NAMBA 7: Los Angeles International Airport Marekani, ulipitisha zaidi ya abiria milioni 74 mwaka 2015.
NAMBA 7: Los Angeles International Airport Marekani, ulipitisha zaidi ya abiria milioni 74 mwaka 2015.
LA
Las Angeles hiyo kwa ndani…
b1
NAMBA 6London Heathrow Airport ulipitisha zaidi ya abiria milioni 74.9
a6
NAMBA 5: Tokyo Haneda Airport Japan na rekodi yake ni abiria milioni 75.
chicago
NAMBA 4:  Chicago O’Hare International Airport Marekani
a8
NAMBA 3: Uwanja wa ndege wa Dubai ambao ulishika namba 6 mwaka 2014 umezidi kusogea na kushika namba 3 mwaka 2015
a9
NAMBA 2: BEIJING CAPITAL INTERNATIONAL AIRPORT CHINA ambapo abiria waliopita hapa mwaka 2015 ni milioni 89.9 na walitarajiwa kuwa wa kwanza mwaka 2015 sema hawajazifikia rekodi za uwanja namba 1
NAMBA 1: Uwanja wa Atlanta Hartsfield Jackson International ambao ulipitisha abiria milioni 100 kwa mwaka 2015 na kubaki namba 1 ileile ya mwaka 2014 kama Airport iliyokua busy kuliko zote duniani.
NAMBA 1: Uwanja wa Atlanta Hartsfield Jackson International ambao ulipitisha abiria milioni 100 kwa mwaka 2015 na kubaki namba 1 ileile ya mwaka 2014 kama Airport iliyokua busy kuliko zote duniani.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA