WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 6, 2016

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA KWA KUANGUKIWA NA KIFUSI

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
 Wananchi wakiwa wamebeba mwili wa mmoja wa watu waliofariki kwa kuangukiwa na kifusi eneoa Ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam, leo.
 Wafanyakazi wa Uokoaji wakiwa wamebeba mwili wa mmoja waliofariki katika ajali ya kuangukiwa na kifusi leo.
Wananchi wakishiriki kuokoa miili ya watu waliofukiwa na kifusi katika eneo la Ukwamani Kawe jijini Dar es Salaam  leo.
Zoezi la uokoaji likiendelea.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA