UEFA CHAMPIONS LEAGUE: FAINALI NI MADRID DERBY, ATLETICO VS REAL MADRID | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, May 5, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: FAINALI NI MADRID DERBY, ATLETICO VS REAL MADRID

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Baale-UEFA
Manchester City imeshindwa kufika fainali ya michuano ya klabu bingwa Ulaya kwa mara ya kwanza baada ya kushindwa kufurukuta kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya mabingwa mara 10 wa taji hilo Real Madrid.
Baada ya sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa kwanza, Real walipata goli lao pekee lililowapa ushindi kufuatia krosi ya Gareth Bale kumgonga Fernanho kisha kujaa wavuni.
Shuti la Fernandihno liligonga lakini Real ilitawala mchezo wao walipata nafasi kupitia kwa kiungo Luka Modriclakini shuti lake liliokolewa na Joe Hart.
Ushindi huo unaifanya Real Madrid ikutane na Atletico kwenye michuano ya Ulaya.
Kwahiyo, Real Madrid itakuta na kikosi cha Luis itacheza fainali dhidi ya Atletico Madrid kwenye dimba la San Siro May 28, 2016.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA