Mwandishi wa al-Shabab Hassan Hanafi ni nani? | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, March 4, 2016

Mwandishi wa al-Shabab Hassan Hanafi ni nani?

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Mwandishi wa Somalia Hassan Hanafi alihukumiwa kifo kwa kupigwa risasi na mahakama ya Mogadishu siku ya Alhamisi baada ya kufanya njama na kundi la al-shabaa katika mauaji ya waandishi wenzake 5.
Hanafi alikuwa maarufu sana kwa wasikilizaji wengi wa redio nchini Somalia baada ya kujiunga na idhaa maarufu ya Quran FM.
Aliondoka mwaka 2006 ili kuwa mwanahabari wa mtandao wa Somali.
Baadae alijiunga na al-Shabab na kuanzisha afisi ya siri,iliokuwa ikichunguza habari na kumtishia ripota yeyote ambaye alizungumza dhidi ya al-shabab ama hata kuliangazia kundi hilo kwa njia mbaya.
Baadaye angemtaka mwandishi aliyelikosea kundi hilo kumfuata katika gari lake.
Wengine waliuawa papo hapo huku wengine wakikana na kulitoroka taifa hilo.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA