Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Promota wa show hii DMK Global kwa kushirikiana na Break Point entertainment,Safari entertainment na J&P entertainmentamesema kwenye maisha yake ya kuandaa show kama hizi nchini Marekani, hakuna msanii wa Afrika amewahi kuivunja rekodi aliyoiweka Diamond kwenye show ndani ya mji wa Las Vegas…. unaweza kutazama hii video hapa chini kuona sehemu tu ya show yenyewe.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment