Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Msanii wa hiphop anayeongoza kwa kupigana na mapaprazi nchini Marekani Kanye West amekubali kupewa lift ya gari na paparazi mmoja huko Los Angeles 15 march 2016.
Hili limekuja kama jambo la kushangaza kwa wengi sababu Kanye West huwa hapatani kabisa na mapaparazi.
Kanye alipanda kwenye gari na kuongea kwa ufupi na paparazi huyo na baadae kushuka sababu alibidi apokee simu.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment