Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Dubai ni mji ambao kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, Dubai umekua kwa haraka zaidi kutokana na kuweka vizuri njia za ukusanyaji wa mapato na ni mfano ya mji ambao Uongozi wake unafanya kazi kwa kuwa baada ya miaka 25 macho ya Dunia nzima yamehamia Dubai.

Dubai 1990

Mtaa uleule ambao picha yake iko juu hapo ulivyobadilika 2003

Hii ni Dubai Waterfront, ikikamilika itakuwa ndio waterfront kubwa Duniani

Yote hii ilijengwa katika miaka mitano iliyopita, ikiwa ni pamoja na kuwa kisiwa mwonekano wake ni kama mtende

Hoteli ya Burj al- Arab Dubai ndio hoteli ndefu Duniani na yenye hadhi ya nyota 7 na ina vivutio vingi ikiwa ni pamoja na uwanja wa Tennis ulio juu.

Hii ndio Hoteli ya kwanza chini ya maji Duniani.

Ujenzi wa Al Burj ulianza mwaka 2005 na ilichukua miaka 6 kukamilika.

Muonekano wa Dubai Mwaka 2016
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment