Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Mayweather promotions imemsajili bondo wa uzito wa chini kutoka Uganda boxer Sharif Bogere aka ‘The Lion’.
Sharif Bogere anaishi Marekani na amepigana mapambani 28 ,kashinda 27, kapigwa 1 na 19 ni knockouts.
Bogere kwa sasa anafundishwa ngumi mjini Las Vegas na mwalimu maarufu Kenny Adams.
Floyd Mayweather amesema “Anafuraha ya kumsajili Sharif Bogere sababu ni bondia mwenye nja na hasira za mafanikio, ana stori nzuri ya ngumi toka aanze na anauwezo wa kuwa bondia bingwa wa dunia”.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment