Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Mshambuliaji nyota wa KRC Genk, Mbwana Samatta usikuwa kuamkia leo, alitupia picha akiwatakia usiku mwema “watu wake wa nguvu”.
Samatta ambaye tayari ameishaanza kuonyesha cheche zake kwa kufunga bao moja, alitupia picha hiyo kwa lengo la kuwatakia washikaji, rafiki na wadau wa soka usingizi mwema kwa ujumla.
Lakini picha hiyo ikatoa siri nyingine kabisa. Kwamba hivi; kumbe Samatta huwa analala na mpira wa soka.
Katika picha hiyo ukiangalia pembeni utaona mshambuliji huyo nyota Mtanzania utaona kuna mpira ukiwa umetulia.
Maana yake, kuonyesha kweli ana hasira za kuendelea zaidi ya hapo, maana kama Samatta analala na mpira, basi kweli hataki mchezo na kazi yake.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment