Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Klabu ya Barcelona, imeamua kurekebisha Uwanja wake wa Camp Nou ambayo utakuwa unaingiza hadi watazamaji 105, 000 ifikapo mwaka 2021.
Barcelona italazimika kutumia hadi pauni milioni 465 ili kukamilisha zoezi hilo kupitia wataalamu wa ujenzi wa kampuni ya Nikken Sekkei kutoka nchini Japan.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI




0 comments:
Post a Comment