Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

JE WAJUA? kuwa ulimi ndio sehemu rahisi kupona zaidi kwenye mwili wa binaadamu? na je wajua? mdudu Kerengende ''dragonfly'' ama jina maarufu ''chande'' ana miguu 6 lakini haitembei?
...............................................................................................................................................................
Siku kama ya leo miaka 82 iliyopita yaani kwani 1934 alizaliwa mwanaanga wa kirusi bwana Yuri Gagarin ambaye ni binaadamu wa kwanza kutoka nje ya dunia.
Na siku kama ya leo mwaka 1959 mdoli wa kike wa kuonyesha mitindo na urembo almaarufu kwa jina la ''BARBIE' wazinduliwa huko New York Marekani'
Na siku kama ya leo mwaka 1945 ndege za kijeshi za Marekani zilifanya mashambulizi mabaya dhidi ya japani na kuua takribani watu 250,000
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment