MAJI MAJI WAICHAPA MBEYA CITY 3 - 1 | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

MAJI MAJI WAICHAPA MBEYA CITY 3 - 1

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Timua ya MAJIMAJI – WANALIZOMBE  imeendeleza ushindi kwa kuichapa  MBEYA CITY ya jijini MBEYA magoli matatu kwa moja. MAJIMAJI ndio waliokuwa wa kwanza kuliona lango la MBEYA CITY  dakika ya 14 kipindi cha kwanza DANNY MRUANDA akapacha goli wavuni. MBEYA CITY nao katika dakika ya 33 ya mchezo ikapata goli la kusawazisha kupitia

mchezaji wake ABDALA JUMA.Mpaka mapumziko MAJIMAJI moja na MBEYA CITY moja.


Kipindi cha pili katika dakika 64 ya mchezo, mchezaji wa MBEYA CITY akafanya makosa, ndipo MAJIMAJI ikapewa penati, walioyoitumia vema, na kupitia mchezaji  DANNY MRUANDA akaipatia timu yake goli la pili, dakika ya 78 ya mchezo MAJIMAJI ikapata goli la tatu kupitia mchezaji wake MASSELE BONIVENTURE. Mpaka mpira unamalizika MAJIMAJI WANALIZOMBE ikawa imefunga magoli matatu
na MBEYA CITY imefunga goli moja.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA