RAIS A VIETINAM AHUTUBIA MKUTANO WA BAIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA VIETINAM. | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 9, 2016

RAIS A VIETINAM AHUTUBIA MKUTANO WA BAIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA VIETINAM.

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
TIH1
Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
TIH2
 Baadhi ya washiriki wa  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

TIH3
Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang akiteta  na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
TIH05
Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang akihutubia mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
TIH4
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang kuhutubia  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
TIH5
Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang akimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye alizungumza na kumkaribisha Rais huyo kuhutubia   mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
TIH7
Rais wa VietinamTrung Tan Sang (kuliakwa Waziri Mkuu) na Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya pamoja badhi ya viongozi na wafanyabiashara wa Tanzania na Vietinam  baada ya mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
TIH8
Rais wa Vietinam, Trung Tan Sang akiongozwa   na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kutoka katika  mkutano wa biashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Vietinam uliofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam Machi 9, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA