TV rights za Chinese Super League zimepanda mara 20 ndani ya mwaka mmoja | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Sunday, March 13, 2016

TV rights za Chinese Super League zimepanda mara 20 ndani ya mwaka mmoja

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
super leagueMoja ya vyanzo vikubwa vya mapato vya ligi yoyote ni mapato yanayotokana na pesa zinazolipwa na haki ya matangazo ya television.
Kama tunavyolipa pesa kulipa pesa kwenye ving’amuzi basi kuna channel ndefu hadi club za kwenye ligi husika zinapata pesa zao kwa kile kiasi unacholipa kuangalia.
Kwa upande wa Chinese Super League pesa zinazolipwa kwa club za ligi ya china zimepanda mara 20 ukilinganisha kwa mwaka 2015 hadi mwwaka 2016.
Mwaka 2015 msimu ulipoisha club zilikua zinapata $9 millioni kutoka kwa warusha matangazo. Mwaka huu vilabu vinapata kiasi cha $200 milions kwenye mkataba wa miaka 5.
Ligi inaendelea kupata umaarufu kwa kusajili majina makubwa duniani na uwekezaji mkubwa unaendelea kufanyika. Hivyo basi ndani ya miaka michache ijayo inategemewa kuongezeka sana.
Ligi ya China kwa hapa Tanzania inaonekana kupitia Startimes pekee. Kuna wachezaji wa Africa wapo kwenye ligi hii na wengine wanazidi kuongezeka.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA