Wahamiaji wazidi kuitesa Uturuki | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 8, 2016

Wahamiaji wazidi kuitesa Uturuki

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Umoja wa Ulaya na viongozi wa Uturuki waliokutana mjini Brussels wameshindwa kufikia muafaka wa suluhisho la mgogoro wa wahamiaji.
Uturuki inatuhumiwa na Jumuiya ya Ulaya kuwa na wimbi kubwa la wahamiaji wanaovuka ,na kuchukua msaada unaozidi euro bilioni tatu.
kutokana na hali hiyo Umoja wa ulaya umeitaka Uturuki kuwachukua wahamiaji ambao hawakukidhi vigezo vya kupata hifadhi na kuongeza jitihada zaidi za kuwazuia kuvuka bahari ya Aegean kuelekea Ugiriki.
Raisi wa bunge la Ulaya ,Martin Schulz amesema suala la maombi ya uturuki kutaka kuongezewa euro bilioni tatu ili kulipia huduma za afya na shule kwa ajili ya wakimbizi wanaokaa nje ya kambi bado linajadiliwa katika mkutano huo wa nchi za umoja wa ulaya.
Hata hivyo Katibu mkuu wa NATO amesema mkutano huo ulioanza jana unafahamika wazi malengo yake katika nchi ya Uturuki na ukanda wa bahari ulioko upande wa ugiriki. Ameyasema wakati akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari,Jens Stoltenberg na Waziri Mkuu wa Uturuki Jens Stoltenberg.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA