AJALI MBAYA KIBADA KIGAMBONI ,WATU 7 WAFARIKI DUNIA | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, April 29, 2016

AJALI MBAYA KIBADA KIGAMBONI ,WATU 7 WAFARIKI DUNIA

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Ajali imetokea Kibada Kigamboni sasa hivi, Picha iyo, Ajali imehusisha gari aina ya MAHINDRA-SCOPIO, ilikuwa ikitokea Mji Mwema inaelekea Kibada. Imevamia matofali yaliyo pembezoni mwa barabara mbele ya nyumba ya ghorofa. Inasemekana gari hiyo ilibeba watu wa familia moja na wamefariki watu 7 watoto 3 na watu wazima 4 katika ajali apa Kibada - Kigamboni ni wahindi.




KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA