HUYU MREMBO KAFUNGUKA KILAKITU KUHUSU UHUSIANO WAKE NA RONALDO | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 13, 2016

HUYU MREMBO KAFUNGUKA KILAKITU KUHUSU UHUSIANO WAKE NA RONALDO

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Ronaldo-cover
Licha ya kuwa na majukumu mengi ya kuitumikia moja ya klabu kubwa duniani lakini Cristiano Ronaldo bado yuko vizuri kukimbizana warembo wakali.
Star uyo wa Madrid amekuwa na mahusiano na vimwana wenye majina makubwa kwa miaka kadhaa lakini safari hii anahusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na model wa kituruki anayefahamika kwa jina la Cansu Taskin.
Ronaldo-girf-pic
Taskin anajina kubwa kwenye tasnia ya modeling na hivi karibuni alihojiwa kwenye television ya Uturuki ambapo alikiri mwenyewe kwamba anawasiliana mara kwa mara na nyota huyo mwenye miaka 31 sasa.
Ronaldo alikuwa kwenye mahusiano na model ambaye ni muigizaji pia wa Russia Irina Shayk, inataarifiwa kwamba amekuwa akiwasiliana muda mwingi na mpenzi wake mpya kupitia mitandao ya kijamii.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA