JE WAJUA ASILI YA KIDUKU? | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Friday, April 29, 2016

JE WAJUA ASILI YA KIDUKU?

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
                           Image result for BALOTELLI VS NEYMAR HEAR                          
  Wengi wanapenda kucheza au kuona wengine wakicheza KIDUKU! Lakini wengi wao hawafahamu asili na chimbuko la kiduku hapa Tanzania!

Kwa kifupi ni kwamba ASILI YA KIDUKU NI NIGERIA! kiduku ni aina fulani ya ngoma inayochezwa nchini Nigeria,

Hivyo kiduku kimefika Tanzania kupitia filamu za kinigeria!

Filamu ya 'Ola' ilyotoka mwaka 2006 ndo kichochezi halisi cha style ya kiduku nchini kwani baada ya filamu ya Ola kusambaa nchini Tanzania ndipo kiduku kilipoibuka na kuenea nchini Tanzania!
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA