Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango akizungumza katika ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi na Mafuta lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) ambaye ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi na Mafuta lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango akikabidhiwa kibao maalumu mara baada ya kuzindua Kongamano la Kimataifa linalojadili juu ya Uwajibikaji katika Sekta ya ya Gesi na Mafuta lililoandaliwa na Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Uwajibikaji Tanzania (WIPA) ambaye ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovick Utouh jijini Dar es Salaam leo.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI




0 comments:
Post a Comment