SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVIESHENI | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 12, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVIESHENI

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
 

SIMU.tv: Mkuu wa wilaya ya Mbeya awaweka ndani watumishi 2 wa wakala wa huduma za misitu nchini TFS na wafanyabiashara 5 baada ya kuwakamata na shehena za mazao ya misitu wakiwa na lengo la kuyasafirisha kwenda nje ya nchi.https://youtu.be/G4l0qV6v7gg  
  
SIMU.tv: Serikali imezindua KANZADATA ambao ni mfumo wa ukusanyaji taarifa na takwimu za watu wenye ulemavu utakao wezesha nchi kuwa na takwimu sahihi za watu wenye ulemavu wowote. https://youtu.be/WJsCKRFozlo  
  
SIMU.tv: Wahitimu wa mafunzo mbalimbali ya kijeshi nchini watakiwa kutobweteka na badala yake wajiendeleze kitaaluma zaidi ili kuendana na madadiliko ya kimataifa katika kipinidi hiki cha sayansi na teknolojia. https://youtu.be/8sV2_XQ8sSs   

SIMU.tv: Shule ya msingi Mtwaro wilayani Tunduru inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vyumba vya madarasa, ofisi pamoja na nyumba za walimu.https://youtu.be/BdDnfZ0KsP8  

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Mwanza aagiza kufukuzwa kazi kwa mganga mkuu wa wilaya ya Magu kwa kosa la utoro uliokithiri bila ya taarifa.https://youtu.be/RZHQwOaeWKU  

SIMU.tv: Kamati ya bunge ya hesabu za serikali PAC yasema italichukulia hatua jeshi la polisi endapo SIMU.tv: halitotekeleza maelekezo yaliyotolewa na kamati hiyo juu ya mkataba wa jeshi hilo na kampuni ya Lugumi. https://youtu.be/InuXHpR6osY    

SIMU.tv: Jeshi la polisi mkoani Mbeya linawashikilia watu 7 wakiwemo  maafisa 2 wa wakala wa misitu TFS kwa tuhuma za kusafirisha magogo nje ya nchi kinyume cha sheria. https://youtu.be/jOaKQwAU9g4  
  
SIMU.tv: Waziri mkuu Kassim Majawaliwa amesema serikali imefuta tozo 5 kati ya 9 walizokuwa wanakatwa wakulima wa zao la korosho baada ya kubainika kutokuwa na tija. https://youtu.be/yyBBkPkHa-w   
  
SIMU.tv: Naibu waziri wa afya, maendeleo ya jamii, wazee na watoto Dr. Hamis Kigwangala atoa siku 60 kwa hospitali ya wilaya ya Korogwe kurekebisha mfumo wa maji taka pamoja na chumba cha upasuaji hospitalini hapo.https://youtu.be/6QAD96vI06M  
  
SIMU.tv: Waziri wa afya Ummy Mwalimu awaagiza waganga wakuu wa wilaya na mikoa kuhakikisha vituo vyote vya tiba, zikiwemo zahanati, vituo vya afya na hospitali kuweka dirisha maalum kwa ajili ya kuwahudumia wazee. https://youtu.be/MQc5-wy0lVI  
  
SIMU.tv: Klabu ya Simba ya jijini Dar es salaam, yatumbuliwa na kutupwa nje ya michuano ya Kombe la FA baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Coastal Union.https://youtu.be/5i999p1UK3g
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA