TASWIRA; KOBE BRAYANT ALIVYOSTAAFU RASMI, JAY Z, DAVID BECKHAM, MASTAA KIBAO WAHUDHU | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Thursday, April 14, 2016

TASWIRA; KOBE BRAYANT ALIVYOSTAAFU RASMI, JAY Z, DAVID BECKHAM, MASTAA KIBAO WAHUDHU

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Hakuna refu lisilokuwa na ncha. Mcheza kikapu maarufu wa Marekani, Kobe Bryant amestaafu.Nyota huyo wa LA Lakers amestaafu na kuagwa na mashabiki kibao wakiwemo nyota wa muziki kama Jay Z, soka wakiongozwa na David Beckham na kikapu wakiongozwa na Magic Johnson.
Katika siku ya kuagwa, Kobe aliyecheza kwenye NBA kwa miaka 20 aliingoza Lakers kushinda kwa pointi 101-96 dhidi ya Utah Jazz huku yeye akifunga pointi 60 na kuweka rekodi ya aina yake.
















KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA