Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Lagos
Msanii Mtanzania ni kati ya watakaotumbuiza katika utoaji tuzo maarufu za waigizaji filamu za Africa Magic Viewers Choice (MVCA) zinazotolewa mjini hapa, leo.
Africa Magic Viewers Choice Awards zinafanyika leo kwenye Hoteli ya Eko na Kiba ni kati ya wasanii watakaofanya yao.
"Nipo tayari, maandalizi yote yalishafanyika nasubiri kesho (leo) nifanye mambo," alisema Kiba akionyesha kujiamini.
Watanzania si wengi sana katika tuzo hizo kama Wanigeria, Waghana, Wakenya na baadhi kutoka Afrika Kusini.
Tuzo hizo ambazo washindi hupatikana kutokana na watazamaji wa kura za filamu, zimekuwa zikipata umaarufu zaidi kila kukicha.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment