Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
LULU... |
Lagos
Msanii nyota katika uigizaji nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema amekuwa akisali kila wakati ili ashinde tuzo yaAfrica Magic Viewers Choice (MVCA).
Africa Magic Viewers Choice Awards zinafanyika leo kwenye Hoteli ya Eko mjini hapa na Lulu ni kati ya wanaowania katika kipengele cha Afrika Mashariki.
“Natamani sana kushinda, lakini najua ushindani ni mkali sana. Tokea nimefika nimekuwa nikisali kila wakati Mungu anisaidie nishinde,” alisema Lulu.
Watanzania si wengi sana katika tuzo hizo kama Wanigeria, Waghana, Wakenya na baadhi kutoka Afrika Kusini.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment