Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

JE WAJUA? ukichukua 111,111,111 x 111,111,111 unapata 1 2 3 4 5 6 7 8 9 8 7 6 5 4 3 2 1? na je wajua? huwa kwa kawaida unapumua mara 23,000 kwa siku?
Tarehe 20 Machi miaka 289 iliyopita, alifariki dunia Isaac Newton mwanafizikia, mwanahisabati na mwanafikra wa Kiingereza akiwa na umri wa miaka 84. Alizaliwa mwaka 1643 na kusoma katika Chuo Kikuu cha Cambridge. Akiwa na umri wa miaka 24, Isaac Newton alifanikiwa kugundua kanuni muhimu ya makanika. Newton alibainisha pia sheria tatu za mwendo yaani (Three laws of motion) katika kitabu chake alichokipa jina la Mathematical Principles of Natural Philosophy.
Siku kama ya leo mwaka 1982 wanasayansi wa marekani warudi kutoka bara la antaktika na mabaki ya mamalia anayesadikiwa kuwa wa kwanza kuishi hapo
Na siku kama ya leo mwaka 1932 usafiri wa anga kupitia puto (balloon) ulifanyika kwa mara ya kwanza kwenda Amerika ya kusini
Na vile vile siku kama ya leo mwaka 1760 moto mkubwa ulilikumba jimbo la boston nchini marekani na kuteketeza kabisa majengo yapatayo 349
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment