Makamu wa Rais Bi Samia Suluhu apiga kura visiwani Zanzibar | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

Makamu wa Rais Bi Samia Suluhu apiga kura visiwani Zanzibar

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi Samia Hassan  Suluhu amepiga kura viwasini Zanzibar  katika uchaguzi wa marudio unaofanyika leo. 
Bi Samia amrwapongeza wananncji wa Visiwa vya Zanzibar kwa  kukitokeza kwa wingi kupiga kura kuwachagua viongozi  wao. 
Amewataka Wanzanzibar kuwa watulivu mpaka  zoezi hili litakapokamilika na Matokeo  kutangazwa.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA