Vikosi vya Kenya na al-shabaab wapigana | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

Vikosi vya Kenya na al-shabaab wapigana

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
ImageReuters
ImageWanajeshi wa Kenya wanasema waliwaua wanamgambo 21 wa al shabbab
Kumekuwa na mapigano kati ya wanajeshi wa kenya na wanamgambo wa al-Shabaab katika eneo la Lower Juba nchini Somalia.
Kuna ripoti za kukanganya kuhusu maafa . Wanajeshi wa Kenya wanasema kuwa walivisiwa lakini wakafanikiwa kuwaua wanamgabo 21 licha ya wao kupoteza wanajesi wawili.
Al-Shabaab nao wanadai kuwa waliwaua wanajeshi 20 wa Kenya wakawakamata wawili na kuharibu magari yao sita.
Mapigano hayo yalitokea kwenye barabara inayoelekea mji wa Afmadow ambapo wanajehsi wa kenya waliwaua wanamgambo 19 wa al-Shabaab siku ya Jumatano.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA