Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe wakati alipokwenda kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha kaka yake Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe (kulia kwake) wakati alipokwenda kumpa pole kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanafamilia wakati alipokwenda kumpa pole Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mwanasiasa mkongwe,Kingunge Ngombale- Mwiru wakati alipokwenda kumpa pole Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa Upinzani Bunge, Freeman Mbowe kufuatia kifo cha kaka yake, Kanali Mstaafu Maximillian Aikaeli Mbowe, nyumbani kwa marehemu, Tegeta jijini Dar es salaam Aprili 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
0 comments:
Post a Comment