Mechi ya kwanza Pep Guardiola atakapojiunga na Man City | MAUJANJA 24 NEWZ

HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,KUMBUKUMBU ZA KIHISTORIA,MICHEZO NA BURUDANI,NA MENGINE MENGI

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 22, 2016

Mechi ya kwanza Pep Guardiola atakapojiunga na Man City

Kama Bado Hujajiunga Nami, Unaweza Kujiunga Kwa Kubonyeza Like Hapa Chini Nikutumie Habari Moja Kwa Moja
Kocha wa zamani wa klabu ya FC Barcelona yaHispania ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya FC Bayern Munich akimalizia mkataba wake, kabla ya kujiunga na Man City mwishoni mwa msimu Pepe Guardiola, tayari mechi yake ya kwanza akijiunga na Man City kuna tetesi kuwa imejulikana.
Pepe Guardiola anatajwa kuwa na tetesi mechi yake ya kwanza itakuwa dhidi ya Man Unitedambayo inadaiwa kuwa kwa wakati huo itakuwa ikifundishwa na Jose Mourinho, ila itakuwa ni michuano ya maandalizi ya msimu‘International Champions Cup’ itakayofanyikaBeijing China.
Jose-Mourinho-and-Josep-Guardiola
Kutoka kushoto ni Jose Mourinho na Pep Guardiola
Hata hivyo ukweli wa kukutana au kutokukutana utajulikana wiki hii, kwa sasa mashabiki wa Man United wanaimani kuwaLouis van Gaal atafukuzwa mwishoni mwa msimu na Mourinho atajiunga nao, wakati Man City wao walithibitisha kuwa tayari walisaini mkataba na Guardiola.
KUPATA HABARI NA MATUKIO YA KILA SIKU, BONYEZA Like HAPA CHINI
Asante! TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

google+

linkedin

Maujanja Yote Tz Blog
  • Karibu katika Mtandao Huu unaotoa Habari Za Uhakika Kutoka Ndani Na Nje Na Tanzania. Kama una Tangazo,Habari,Picha,Ushauri n.k Wasiliana nasi kwa simu namba 0755-207374. Soma Zaidi

    0 comments:

     

    IDADI YA WASOMAJI

    TAFUTA HABARI HAPA